About Us

Shalom Redio imefunguliwa chini ya kanisa la Kaloleni Pentecoste, na kusimamiwa na uongozi wa kanisa. Kazi kubwa na lengo kuu la Shalom Redio ni kuutangaza ufalme wa Mungu kwa mataifa na kuwafanya mataifa kuwa wanafunzi wa Yesu, ili kutimimiza agizo kuu la Kristo.

KAULI MBIU YA RADIO
SAUTI YA MUNGU
(VOICE OF GOD)

MPANGO WA RADIO

Nikutoa huduma za Radio zenye viwango vya juu vya ubora ambavyo vinahakikisha imani na thamani yetu katika jamii kwa ujumla.

MAONO YA RADIO

Shalom Fm Radio imeanzishwa kwa lengo la kuwafikia watu wote duniani kwa njia ya Neno la Mungu.

MAADILI YA RADIO

Katika kuhakikisha tunafanikisha kusudi la Mungu katika jamii na kufikisha injili ya Kristo kwa mataifa, tunazingatia sana maadili.

HESHIMA

Tunazingatia sana hili, kwa kumuheshimu mkubwa hadi mdogo.

UTAALAMU

Kazi zetu tunafanya katika kiwango cha juu sana cha utaalamu, na tuna wataalamu wakutosha kufanisha hili.

UWAJIBIKAJI

Ili kufanikisha kazi ya Mungu uwajibikaji ni muhimu, na sisi Shalom Fm tunawajibika.

UADILIFU

Tunazingatia Uadilifu katika kila nyanja.

USHIRIKIANO

Ushikirikiano katika kila tulano fanya ni muhimu sana kwetu, tunamshirikisha Mungu kwanza, na kisha sisi kwa sisi.

UBUNIFU

Tunahakikisha vipindi vyetu ni vya tofauti na vyenye kuleta mabadiliko ya kiroho na kimwili, kwa kutumia ubunifu wa hali ya juu.