Shalom Fm 97.3

Sauti ya Mungu

Shalom Fm 97.3

Arusha. Manyara. Kilimanjaro

Shalom Redio imefunguliwa chini ya kanisa la Kaloleni Pentecoste, na kusimamiwa na uongozi wa kanisa. Kazi kubwa na lengo kuu la Shalom Redio ni kuutangaza ufalme wa Mungu kwa mataifa na kuwafanya mataifa kuwa wanafunzi wa Yesu, ili kutimimiza agizo kuu la Kristo.

BAADHI YA VIPINDI VYETU KILA SIKU

SAUTI ZA ASUBUHI
7AM-9AM (MON-FRI)
Emmanuel Kimaro
MAFURIKO YA BARAKA
11AM-1PM (MON-FRI)
Jeremia Mgasha
GOSPEL EXPLOSION
3PM-5PM (MON-FRI)
Samwel Ebenezer
DARASA LA NENO NA MAOMBI
9PM-11PM (MON-SUN)
Mch Akyoo
SAA YA WOKOVU NI SASA
2PM-3PM (MON-FRI)
Mama Bishop Merisheki.
IBADA ZA NENO NA MAOMBEZI (DNPC AlhamisiĀ  – Jumamosi
3PM-6PM
HABARI KWA KINA
7PM-8PM (MON-FRI)
Samwel Wilson
ANGA LA MICHEZO
6PM-7PM (MON-FRI)
William Mbando
DONDOO ZA KIROHO
9AM-10AM (MON-FRI)
Ktb. Baraka Bigurube
Unaweza Weka Sadaka yako kupita,
Akaunti ya Benki au kwa Lipa Namba Airtel.

JINA LA AKAUNTI – DNPC KALOLENI – SHALOM RADIO
NAMBA YA AKAUNTI: 40810168728

JINA LA AKAUNTI – SHALOM RADIO
LIPA NAMBA : 800222

NENO LA MWAKA 2025

NI MWAKA WA KUENDELEA KUWA NA NGUVU

Na wana wa Israeli walikuwa na uzazi sana, na kuongezeka mno, na kuzidi kuwa wengi, nao wakaendelea na kuongezeka nguvu; na ile nchi ilikuwa imejawa na wao.

“Kutoka 1:7”

Wanaendelea kupata nguvu zaidi na zaidi; watamwona Mungu wa miungu huko Siyoni.

“Zaburi 84:7”