Shalom Fm 97.3

Sauti ya Mungu

2026 ni mwaka wa kupiga mbio

ISAYA 40:31, YOELI 2:7

Shalom Fm 97.3

Arusha. Manyara. Kilimanjaro

Shalom Redio imefunguliwa chini ya kanisa la Kaloleni Pentecoste, na kusimamiwa na uongozi wa kanisa. Kazi kubwa na lengo kuu la Shalom Redio ni kuutangaza ufalme wa Mungu kwa mataifa na kuwafanya mataifa kuwa wanafunzi wa Yesu, ili kutimimiza agizo kuu la Kristo.

BAADHI YA VIPINDI VYETU KILA SIKU

SAUTI ZA ASUBUHI
7AM-9AM (MON-FRI)
Emmanuel Kimaro & William Mbando
MAFURIKO YA BARAKA
11AM-1PM (MON-FRI)
Jeremia Mgasha & Lightness Kiteleki
YESU ASEMA
10:00AM-10:55 ALHAMISI
Mt. Alex Sukurieth
DARASA LA NENO NA MAOMBI
9PM-11PM (MON-SUN)
Mch. Warialei Akyoo
SAA YA WOKOVU NI SASA
10AM-11AM (MON-FRI)
Mama Bishop. Steven Merisheki
IBADA ZA NENO NA MAOMBEZI (DNPC Alhamisi-9 alasiri hadi 12 Jioni  & Jumamosi-2 asubuhi hadi  8 Mchana
HABARI KWA KINA
7PM-8PM (MON-FRI)
Samwel Wilson
ANGA LA MICHEZO
6PM-7PM (MON-FRI)
William Mbando
DONDOO ZA KIROHO
9AM-10AM (MON-FRI)
Baraka Bigurube
GOSPEL EXPLOSION
2PM-4PM (MON-FRI)
Samwel Ebenezer
WAONGOFU WAPYA
10PM-11PM (IJUMAA)
Mch. Wariaely Akyoo
SHALOM AFRICA
4PM-5PM (MON-FRI)
Jeremia Mgasha
USIKU WA MAOMBI NA MAHITAJI
12AM-3AM (MON-FRI)
WATOTO 
(Sunday)
Unaweza Weka Sadaka yako kupita,
Akaunti ya Benki au kwa Lipa Namba Airtel.

JINA LA AKAUNTI – DNPC KALOLENI – SHALOM RADIO
NAMBA YA AKAUNTI: 40810168728

JINA LA AKAUNTI : – DNPC KALOLENI
LIPA NAMBA AIRTEL :- 800222

NENO LA MWAKA 2026

Bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watakimbia, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.

“Isaya 40:31”

“Yoeli 2:7”

Hupiga mbio kama mashujaa; huupanda ukuta kama watu wa vita; nao huendelea mbele kila mmoja katika njia zake, wala hawapotoshi safu zao.