Shalom Fm 93.7

Sauti ya Mungu

Shalom Fm 93.7

Arusha. Manyara. Kilimanjaro

Shalom Redio imefunguliwa chini ya kanisa la Kaloleni Pentecoste, na kusimamiwa na uongozi wa kanisa. Kazi kubwa na lengo kuu la Shalom Redio ni kuutangaza ufalme wa Mungu kwa mataifa na kuwafanya mataifa kuwa wanafunzi wa Yesu, ili kutimimiza agizo kuu la Kristo.

BAADHI YA VIPINDI VYETU KILA SIKU

SAUTI ZA ASUBUHI
7AM-9AM (MON-FRI)
Emmanuel Kimaro & Monica Lema
MAFURIKO YA BARAKA
11AM-1PM (MON-FRI)
Jeremia Mgasha
GOSPEL EXPLOSION
3PM-5PM (MON-FRI)
Samwel Ebenezer
DARASA LA NENO NA MAOMBI
9PM-11PM (MON-SUN)
Mch Akyoo
SAA YA WOKOVU NI SASA
2PM-3PM (MON-FRI)
Mama Bishop Merisheki.
IBADA ZA NENO NA MAOMBEZI (DNPC AlhamisiĀ  – Jumamosi
3PM-6PM

NENO LA WIKI

Wiki ya kupita juu yao, maadui zako

1 Wakorintho 15:25